Programu

Chakura kwenye orodha ya program zitakazoendeshwa na UNEP na wanaoiunga mkono. Inashirikisha wahutubiaji wa kiwngo cha juu, majopo ya wataalamu, maonyesho ya bidhaa na maeneo mbalimbali mtandaoni, Mabalozi wa Nia Njema, Vijana Bingwa Duniani, filamu, awamu ya muziki na program zinginezo zinazoendelezwa nchini Kolombia, mwenyeji wa Siku ya Mazingira Duniani.

Orodha inapoendelea kukua, itazame, tumia bookmark au ongeza shughuli ya kufurahisha kwenye kalenda. 

 

Shirika la Mazingira Duniani (UNEP) linafahamu kuhusu shughuli zilizoorodheshwa hapa ambazo hazina uhusiano na UNEP. Shughuli hizo zimeandaliwa kwa ajili ya Siku ya Mazingira Duniani na zimewekwa hapa baada ya kupewa ruhusa. UNEP haina uhusiano na maudhui yake. kwa kuyajumuisha hapa haimanishi tunayaidhinisha wala kuidhinisha shughuli hiyo